Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 22 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿فَمَكَثَ غَيۡرَ بَعِيدٖ فَقَالَ أَحَطتُ بِمَا لَمۡ تُحِطۡ بِهِۦ وَجِئۡتُكَ مِن سَبَإِۭ بِنَبَإٖ يَقِينٍ ﴾
[النَّمل: 22]
﴿فمكث غير بعيد فقال أحطت بما لم تحط به وجئتك من سبإ﴾ [النَّمل: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akakaa hud-hud muda usio mrefu kisha akahudhuria, na Sulaymān akamlaumu juu ya kughibu kwake na kutokuwako kwake. Hud-hud akamwambia, «Nimejua jambo usilolijuwa kikamilifu, na nimekujia kutoka mji wa Saba’ na habari ya jambo muhimu sana, na mimi nina yakina nalo |