Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 27 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿۞ قَالَ سَنَنظُرُ أَصَدَقۡتَ أَمۡ كُنتَ مِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ ﴾
[النَّمل: 27]
﴿قال سننظر أصدقت أم كنت من الكاذبين﴾ [النَّمل: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sulaymān alisema kumwambia hud-hud, «Tutaichunguza habari uliyotuletea tujue: unasema kweli katika hiyo au umekuwa ni katika warongo ndani yake |