Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 48 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَكَانَ فِي ٱلۡمَدِينَةِ تِسۡعَةُ رَهۡطٖ يُفۡسِدُونَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا يُصۡلِحُونَ ﴾
[النَّمل: 48]
﴿وكان في المدينة تسعة رهط يفسدون في الأرض ولا يصلحون﴾ [النَّمل: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na katika mji wa Ṣāliḥ, nao ni mji wa Ḥijr, ulioko Kaskazini magharibi ya bara Arabu, kulikuwa na wanaume tisa, shughuli yao ni kufanya uharibifu katika ardhi usiochanganyika na wema wowote wa kutengeneza |