Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 50 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَمَكَرُواْ مَكۡرٗا وَمَكَرۡنَا مَكۡرٗا وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ﴾
[النَّمل: 50]
﴿ومكروا مكرا ومكرنا مكرا وهم لا يشعرون﴾ [النَّمل: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wakazipanga hila hizi za kumuangamiza Ṣāliḥ na watu wake kwa kuwafanyia vitimbi, tukamuokoa Nabii wetu Ṣāliḥ, amani imshukie, na tukawapatiliza kwa mateso kwa ghafla na hali wao hawatazamii vitimbi vyetu kwao kama malipo ya vitimbi vyao |