Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 54 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَلُوطًا إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَتَأۡتُونَ ٱلۡفَٰحِشَةَ وَأَنتُمۡ تُبۡصِرُونَ ﴾
[النَّمل: 54]
﴿ولوطا إذ قال لقومه أتأتون الفاحشة وأنتم تبصرون﴾ [النَّمل: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mkumbuke na umtaje Lūṭ, aliposema kuwaambia watu wake, «Hivi nyinyi mnaleta kitendo ambacho ni upeo wa ubaya, nanyi mnajua ubaya wake |