Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 53 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَأَنجَيۡنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ﴾
[النَّمل: 53]
﴿وأنجينا الذين آمنوا وكانوا يتقون﴾ [النَّمل: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukamuokoa, na yale maangamivu yaliyowafika kina Thamūd, Ṣāliḥ na waliomuamini waliokuwa wakijikinga, kwa Imani yao, na adhabu ya Mwenyezi Mungu |