Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 6 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَإِنَّكَ لَتُلَقَّى ٱلۡقُرۡءَانَ مِن لَّدُنۡ حَكِيمٍ عَلِيمٍ ﴾
[النَّمل: 6]
﴿وإنك لتلقى القرآن من لدن حكيم عليم﴾ [النَّمل: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika wewe , ewe Mtume, unapewa Qur’ani kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwingi wa hekima katika kuumba Kwake na upelekeshaji Wake Ambaye Amekizunguka kila kitu kwa kukijua |