Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 7 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿إِذۡ قَالَ مُوسَىٰ لِأَهۡلِهِۦٓ إِنِّيٓ ءَانَسۡتُ نَارٗا سَـَٔاتِيكُم مِّنۡهَا بِخَبَرٍ أَوۡ ءَاتِيكُم بِشِهَابٖ قَبَسٖ لَّعَلَّكُمۡ تَصۡطَلُونَ ﴾
[النَّمل: 7]
﴿إذ قال موسى لأهله إني آنست نارا سآتيكم منها بخبر أو آتيكم﴾ [النَّمل: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Taja habari ya Mūsā aliposema kuwaambia watu wa nyumbani kwake katika safari yake kutoka Madyan kwenda Misri, «Mimi nimeuona moto. Nitawajia kutoka huko na habari ya kutuonyesha njia, au nitawajia na kinga cha moto mupate mvuke wake mjihami na baridi |