Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 73 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿وَإِنَّ رَبَّكَ لَذُو فَضۡلٍ عَلَى ٱلنَّاسِ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَشۡكُرُونَ ﴾
[النَّمل: 73]
﴿وإن ربك لذو فضل على الناس ولكن أكثرهم لا يشكرون﴾ [النَّمل: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika ya Mola wako ni Mwenye nyongeza za wema kwa watu, kwa kuacha kuwaharakishia wao adhabu kwa kumuasi kwao Yeye na kumkanusha. Lakini wengi wao hawamshukuru kwa hilo wakamuamini na wakamtakasia ibada |