×

Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho 27:75 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Naml ⮕ (27:75) ayat 75 in Swahili

27:75 Surah An-Naml ayat 75 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 75 - النَّمل - Page - Juz 20

﴿وَمَا مِنۡ غَآئِبَةٖ فِي ٱلسَّمَآءِ وَٱلۡأَرۡضِ إِلَّا فِي كِتَٰبٖ مُّبِينٍ ﴾
[النَّمل: 75]

Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما من غائبة في السماء والأرض إلا في كتاب مبين, باللغة السواحيلية

﴿وما من غائبة في السماء والأرض إلا في كتاب مبين﴾ [النَّمل: 75]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hakuna kitu chochote kilichofichika na macho ya viumbe, kilichoko mbinguni na ardhini,isipokuwa kiko kwenye Kitabu kilicho waziwazi kilichoko kwa Mwenyezi Mungu. Kitabu hiko kimevizunguka vyote vilivyokuwa na vitakavyokuwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek