×

Na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea mnyama katika ardhi atakaye wasemeza, 27:82 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Naml ⮕ (27:82) ayat 82 in Swahili

27:82 Surah An-Naml ayat 82 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 82 - النَّمل - Page - Juz 20

﴿۞ وَإِذَا وَقَعَ ٱلۡقَوۡلُ عَلَيۡهِمۡ أَخۡرَجۡنَا لَهُمۡ دَآبَّةٗ مِّنَ ٱلۡأَرۡضِ تُكَلِّمُهُمۡ أَنَّ ٱلنَّاسَ كَانُواْ بِـَٔايَٰتِنَا لَا يُوقِنُونَ ﴾
[النَّمل: 82]

Na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea mnyama katika ardhi atakaye wasemeza, ya kuwa watu walikuwa hawana na yakini na Ishara zetu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا وقع القول عليهم أخرجنا لهم دابة من الأرض تكلمهم أن الناس, باللغة السواحيلية

﴿وإذا وقع القول عليهم أخرجنا لهم دابة من الأرض تكلمهم أن الناس﴾ [النَّمل: 82]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na itakapopasa adhabu juu yao, kwa sababu ya kuvama kwao ndani ya madhambi na uasi na kuzipa mgongo kwao sheria za Mwenyezi Mungu na hukumu Zake mpaka wakawa ni miongoni mwa wabaya wa viumbe vyake, tutawatolea wao, katika kipindi cha mwisho wa zama, alama, miongoni mwa alama kubwa za Kiyama, nayo ni Mnyama atakayesema na wao kwamba watu wanaokanusha kufufuliwa ni wakanushaji wa Qur’ani na Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, hawaaamini wala hawafanyi matendo mema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek