Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 16 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿قَالَ رَبِّ إِنِّي ظَلَمۡتُ نَفۡسِي فَٱغۡفِرۡ لِي فَغَفَرَ لَهُۥٓۚ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[القَصَص: 16]
﴿قال رب إني ظلمت نفسي فاغفر لي فغفر له إنه هو الغفور﴾ [القَصَص: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Mola wangu! Mimi nimejidhulumu nafsi yangu kwa kumuua mtu ambaye hukuniamuru kumuua, basi nisamehe dhambi hilo.» Na Mwenyezi Mungu Akamsamehe. Kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe sana dhambi za waja Wake, ni Mwenye huruma nao sana |