Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 17 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿قَالَ رَبِّ بِمَآ أَنۡعَمۡتَ عَلَيَّ فَلَنۡ أَكُونَ ظَهِيرٗا لِّلۡمُجۡرِمِينَ ﴾
[القَصَص: 17]
﴿قال رب بما أنعمت علي فلن أكون ظهيرا للمجرمين﴾ [القَصَص: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Mola wangu! Kwa vile ulivyonineemesha kwa toba, msamaha na neema nyingi, sitakuwa mwenye kumsaidia yoyote kufanya uasi wake na uhalifu wake |