Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 44 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿وَمَا كُنتَ بِجَانِبِ ٱلۡغَرۡبِيِّ إِذۡ قَضَيۡنَآ إِلَىٰ مُوسَى ٱلۡأَمۡرَ وَمَا كُنتَ مِنَ ٱلشَّٰهِدِينَ ﴾
[القَصَص: 44]
﴿وما كنت بجانب الغربي إذ قضينا إلى موسى الأمر وما كنت من﴾ [القَصَص: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hukuwako, ewe Mtume, upande wa jabali la jua la kuchwa wa Mūsā, tulipombebesha maamrisho yetu na makatazo yetu, na hukuwa ni kati ya wale waliolishuhudia hilo mpaka kusemwe kwamba habari hii imekufikia kwa njia hii |