Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 81 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿فَخَسَفۡنَا بِهِۦ وَبِدَارِهِ ٱلۡأَرۡضَ فَمَا كَانَ لَهُۥ مِن فِئَةٖ يَنصُرُونَهُۥ مِن دُونِ ٱللَّهِ وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُنتَصِرِينَ ﴾
[القَصَص: 81]
﴿فخسفنا به وبداره الأرض فما كان له من فئة ينصرونه من دون﴾ [القَصَص: 81]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi tukamdidimiza Qārūn pamoja na nyumba yake ndani ya ardhi. Na hakuwa na askari wa kumuokoa badala ya Mwenyezi Mungu, na hakuwa ni mwenye kujikinga na Mwenyezi Mungu yatakapomshukia mateso Yake |