Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 21 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿يُعَذِّبُ مَن يَشَآءُ وَيَرۡحَمُ مَن يَشَآءُۖ وَإِلَيۡهِ تُقۡلَبُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 21]
﴿يعذب من يشاء ويرحم من يشاء وإليه تقلبون﴾ [العَنكبُوت: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anamuadhibu Anayemtaka kati ya viumbe Vyake kwa makosa waliyoyafanya siku za uhai wao, na Anawarehemu Anaowataka miongoni mwao, kati ya wale waliotubia, wakaamini na wakafanya matendo mema. Na Kwake Yeye mtarejeshwa muhesabiwe na mulipwe kwa mliyoyafanya |