Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 22 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿وَمَآ أَنتُم بِمُعۡجِزِينَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا فِي ٱلسَّمَآءِۖ وَمَا لَكُم مِّن دُونِ ٱللَّهِ مِن وَلِيّٖ وَلَا نَصِيرٖ ﴾
[العَنكبُوت: 22]
﴿وما أنتم بمعجزين في الأرض ولا في السماء وما لكم من دون﴾ [العَنكبُوت: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hamkuwa nyinyi, enyi watu, ni wenye kumshinda Mwenyezi Mungu katika ardhi wala katika mbingu iwapo mtamuasi. Na nyinyi hamuna badala ya Mwenyezi Mungu mtegemewa yoyote wa kuyasimamia mambo yenu, wala msaidizi wa kuwaokoa nyinyi na Mwenyezi Mungu iwapo Anawatakia mabaya |