Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 30 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿قَالَ رَبِّ ٱنصُرۡنِي عَلَى ٱلۡقَوۡمِ ٱلۡمُفۡسِدِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 30]
﴿قال رب انصرني على القوم المفسدين﴾ [العَنكبُوت: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema, «Mola wangu! Nipe ushindi juu ya watu waharibifu kwa kuwateremshia adhabu, kwa kuwa wameuzua uchafu huu na wameendelea nao» Na Mwenyezi Mungu Akaikubali dua yake |