Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 56 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿يَٰعِبَادِيَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ إِنَّ أَرۡضِي وَٰسِعَةٞ فَإِيَّٰيَ فَٱعۡبُدُونِ ﴾
[العَنكبُوت: 56]
﴿ياعبادي الذين آمنوا إن أرضي واسعة فإياي فاعبدون﴾ [العَنكبُوت: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Enyi waja wangu mlioamini! Iwapo muna shida ya kudhihirisha Imani na ibada ya Mwenyezi Mungu Peke Yake, basi hamieni kwenye ardhi ya Mwenyezi Mungu iliyo kunjufu na munitakasie ibada mimi peke yangu.» |