Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 66 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿لِيَكۡفُرُواْ بِمَآ ءَاتَيۡنَٰهُمۡ وَلِيَتَمَتَّعُواْۚ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 66]
﴿ليكفروا بما آتيناهم وليتمتعوا فسوف يعلمون﴾ [العَنكبُوت: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kushirikisha kwao baada ya sisi kuwaneemesha kwa kuwaokoa na bahari, ni ili iwe mwisho wake ni kuzikanusha zile tulizowaneemesha katika nafsi zao na mali zao na ili wakamilishe kujistarehesha kwao katika hii dunia. Basi wataujua uharibikaji wa matendo yao na kile Alichowaandalia wao Mwenyezi Mungu cha adhabu kali Siku ya Kiyama. Na katika hilo pana onyo na tahadharisho kwao |