Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 115 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿وَمَا يَفۡعَلُواْ مِنۡ خَيۡرٖ فَلَن يُكۡفَرُوهُۗ وَٱللَّهُ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُتَّقِينَ ﴾
[آل عِمران: 115]
﴿وما يفعلوا من خير فلن يكفروه والله عليم بالمتقين﴾ [آل عِمران: 115]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kitendo chochote, kichache au kingi, kati ya vitendo vyema yatakayofanywa na kikundi hiki kilichoamini, hakitapotea mbele ya Mwenyezi Mungu. Bali watashukuriwa na watapewa malipo yake. Mwenyezi Mungu Anawajua zaidi wacha-Mungu ambao wametenda mema na wakajitenga na yaliyoharamishwa kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu na kutaka thawabu Zake |