×

Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha 3:3 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:3) ayat 3 in Swahili

3:3 Surah al-‘Imran ayat 3 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 3 - آل عِمران - Page - Juz 3

﴿نَزَّلَ عَلَيۡكَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ وَأَنزَلَ ٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ ﴾
[آل عِمران: 3]

Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

❮ Previous Next ❯

ترجمة: نـزل عليك الكتاب بالحق مصدقا لما بين يديه وأنـزل التوراة والإنجيل, باللغة السواحيلية

﴿نـزل عليك الكتاب بالحق مصدقا لما بين يديه وأنـزل التوراة والإنجيل﴾ [آل عِمران: 3]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Amekuteremshia wewe, ewe Mtume, Qur’ani kwa haki ambayo haina shaka, inayoshuhudia ukweli wa Vitabu na Mitume kabla yake. Na Aliiteremsha Taurati kwa Musa, amani imshukie, na Injili kwa Īsā, amani imshukie
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek