Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 2 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلۡحَيُّ ٱلۡقَيُّومُ ﴾
[آل عِمران: 2]
﴿الله لا إله إلا هو الحي القيوم﴾ [آل عِمران: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana muabudiwa kwa haki isipokuwa Yeye, Anayesifika kwa uhai mkamilifu unaonasibiana na utukufu Wake.Anayesimamia kila kitu |