Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 57 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿وَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَيُوَفِّيهِمۡ أُجُورَهُمۡۗ وَٱللَّهُ لَا يُحِبُّ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[آل عِمران: 57]
﴿وأما الذين آمنوا وعملوا الصالحات فيوفيهم أجورهم والله لا يحب الظالمين﴾ [آل عِمران: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ama wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mitume Wake na wakafanya matendo mema, Mwenyezi Mungu Atawapa thawabu za matendo yao zikiwa kamili zisizopunguzwa. Na Mwenyezi Mungu Hawapendi wenye kujidhulumu kwa ushirikina na ukafiri |