Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 94 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿فَمَنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ ﴾
[آل عِمران: 94]
﴿فمن افترى على الله الكذب من بعد ذلك فأولئك هم الظالمون﴾ [آل عِمران: 94]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi yule atakayemzulia Mwenyezi Mungu urongo baada ya kuisoma Taurati na ukweli kuwa wazi, basi hao ndio madhalimu wanaomzulia Mwenyezi Mungu ya batili |