Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 12 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَيَوۡمَ تَقُومُ ٱلسَّاعَةُ يُبۡلِسُ ٱلۡمُجۡرِمُونَ ﴾
[الرُّوم: 12]
﴿ويوم تقوم الساعة يبلس المجرمون﴾ [الرُّوم: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Siku ambayo Kiyama kitasimama wahalifu watakata tamaa ya kuokoka na adhabu, na utawapata wao mshangao utakaokata hoja zao |