Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 11 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿ٱللَّهُ يَبۡدَؤُاْ ٱلۡخَلۡقَ ثُمَّ يُعِيدُهُۥ ثُمَّ إِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ﴾
[الرُّوم: 11]
﴿الله يبدأ الخلق ثم يعيده ثم إليه ترجعون﴾ [الرُّوم: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Ndiye Aliyepwekeka kwa kuanzisha uumbaji viumbe vyote. Na Yeye Ndiye Anayeweza, Peke Yake, kuvirudisha mara nyingine, kisha Kwake Yeye watarejea viumbe wote, Amlipe aliye mwema kwa wema wake na aliye mbaya kwa ubaya wake |