Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 13 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَلَمۡ يَكُن لَّهُم مِّن شُرَكَآئِهِمۡ شُفَعَٰٓؤُاْ وَكَانُواْ بِشُرَكَآئِهِمۡ كَٰفِرِينَ ﴾
[الرُّوم: 13]
﴿ولم يكن لهم من شركائهم شفعاء وكانوا بشركائهم كافرين﴾ [الرُّوم: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina , Siku hiyo, hawatokuwa na waombezi kati ya waungu wao waliokuwa wakiwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, bali wao, hao waungu, watajiepusha nao na wao watajiepusha nao. Maombezi ni ya Mwenyezi Mungu Peke Yake, na hayatafutwi kutoka kwa mwingine |