Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 44 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿مَن كَفَرَ فَعَلَيۡهِ كُفۡرُهُۥۖ وَمَنۡ عَمِلَ صَٰلِحٗا فَلِأَنفُسِهِمۡ يَمۡهَدُونَ ﴾
[الرُّوم: 44]
﴿من كفر فعليه كفره ومن عمل صالحا فلأنفسهم يمهدون﴾ [الرُّوم: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenye kukanusha basi mateso ya ukanushaji wake yatamshukia yeye, nayo ni kukaa milele Motoni. Na mwenye kuamini na akafanya matendo mema basi hao wanajitayarishia wenyewe makao ya Peponi, kwa sababu ya kushikamana kwao na utiifu wa Mola wao |