×

Kwani huoni kwamba marikebu hupita baharini zikichukua neema za Mwenyezi Mungu, ili 31:31 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Luqman ⮕ (31:31) ayat 31 in Swahili

31:31 Surah Luqman ayat 31 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 31 - لُقمَان - Page - Juz 21

﴿أَلَمۡ تَرَ أَنَّ ٱلۡفُلۡكَ تَجۡرِي فِي ٱلۡبَحۡرِ بِنِعۡمَتِ ٱللَّهِ لِيُرِيَكُم مِّنۡ ءَايَٰتِهِۦٓۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَٰتٖ لِّكُلِّ صَبَّارٖ شَكُورٖ ﴾
[لُقمَان: 31]

Kwani huoni kwamba marikebu hupita baharini zikichukua neema za Mwenyezi Mungu, ili kukuonyesheni baadhi ya Ishara zake? Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri, mwenye kushukuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألم تر أن الفلك تجري في البحر بنعمة الله ليريكم من آياته, باللغة السواحيلية

﴿ألم تر أن الفلك تجري في البحر بنعمة الله ليريكم من آياته﴾ [لُقمَان: 31]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwani huoni, ewe mtazamaji, kwamba majahazi yanayotembea baharini kwa amri ya Mwenyezi Mungu ni neema itokayo Kwake kwa viumbe Wake, Apate kuwaonyesha utendakazi Wake na hoja Zake kwenu za kuwafanya nyinyi mzingatie? Hakika katika kupitisha majahazi baharini kuna dalili nyingi kwa kila mvumilivu sana wa kuyaepuka yaliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu na katika kumtii Yeye na kuyavumilia mambo yaliyokadiriwa na Yeye, mwingi wa kushukuru neema Zake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek