Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 46 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿وَدَاعِيًا إِلَى ٱللَّهِ بِإِذۡنِهِۦ وَسِرَاجٗا مُّنِيرٗا ﴾
[الأحزَاب: 46]
﴿وداعيا إلى الله بإذنه وسراجا منيرا﴾ [الأحزَاب: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uwe ni mlinganizi kwenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumuabudu Yeye Peke Yake, na uwe ni taa yenye kung’ara kwa anayetaka kupata mwangaza kwako. Kwani jambo lako la haki ambalo umekuja nalo liko wazi kama vile jua katika kuchomoza na kutoa mwangaza, hakuna mwenye kulikanusha isipokuwa mshindani |