Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 47 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿وَبَشِّرِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ بِأَنَّ لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ فَضۡلٗا كَبِيرٗا ﴾
[الأحزَاب: 47]
﴿وبشر المؤمنين بأن لهم من الله فضلا كبيرا﴾ [الأحزَاب: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uwape bishara njema, ewe Nabii, watu wa Imani kuwa watakuwa na malipo makubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, nayo ni mabustani ya Peponi |