Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 45 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدٗا وَمُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا ﴾
[الأحزَاب: 45]
﴿ياأيها النبي إنا أرسلناك شاهدا ومبشرا ونذيرا﴾ [الأحزَاب: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe Nabii! Sisi tumekutumiza uwe ni shahidi juu ya ummah wako kwa kuwafikishia ujumbe, na kuwabashiria Waumini miongoni mwao rehema na Pepo, na uwe ni mwenye kuwaonya na Moto waasi na wakanushaji |