×

Hii ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita 33:62 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:62) ayat 62 in Swahili

33:62 Surah Al-Ahzab ayat 62 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 62 - الأحزَاب - Page - Juz 22

﴿سُنَّةَ ٱللَّهِ فِي ٱلَّذِينَ خَلَوۡاْ مِن قَبۡلُۖ وَلَن تَجِدَ لِسُنَّةِ ٱللَّهِ تَبۡدِيلٗا ﴾
[الأحزَاب: 62]

Hii ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. Wala hutapata mabadiliko katika ada ya Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: سنة الله في الذين خلوا من قبل ولن تجد لسنة الله تبديلا, باللغة السواحيلية

﴿سنة الله في الذين خلوا من قبل ولن تجد لسنة الله تبديلا﴾ [الأحزَاب: 62]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Huu ndio mpango wa Mwenyezi Mungu na njia Yake kuhusu ummah waliopita, ni kuwa watekwe na wawe ni wenye kuuawa popote waliopo. Na hutapata , ewe Nabii, mageuzi wala mabadiliko katika njia ya Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek