×

Watu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa 33:63 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:63) ayat 63 in Swahili

33:63 Surah Al-Ahzab ayat 63 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 63 - الأحزَاب - Page - Juz 22

﴿يَسۡـَٔلُكَ ٱلنَّاسُ عَنِ ٱلسَّاعَةِۖ قُلۡ إِنَّمَا عِلۡمُهَا عِندَ ٱللَّهِۚ وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّ ٱلسَّاعَةَ تَكُونُ قَرِيبًا ﴾
[الأحزَاب: 63]

Watu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Na nini kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يسألك الناس عن الساعة قل إنما علمها عند الله وما يدريك لعل, باللغة السواحيلية

﴿يسألك الناس عن الساعة قل إنما علمها عند الله وما يدريك لعل﴾ [الأحزَاب: 63]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wanakuuliza watu , ewe Mtume, kuhusu kipindi cha Kiyama kwa njia ya kukiona ni kitu ambacho ni mbali kutokea na kwa njia ya kukikanusha. Waambie, «Hakika ya mambo ni kwamba Ujuzi wa kipindi cha Kiyama uko kwa Mwenyezi Mungu.» Na ni lipi linalokujuza wewe, ewe Mtume kwamba huenda Kiyama kikawa karibu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek