Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 61 - الأحزَاب - Page - Juz 22
﴿مَّلۡعُونِينَۖ أَيۡنَمَا ثُقِفُوٓاْ أُخِذُواْ وَقُتِّلُواْ تَقۡتِيلٗا ﴾
[الأحزَاب: 61]
﴿ملعونين أينما ثقفوا أخذوا وقتلوا تقتيلا﴾ [الأحزَاب: 61]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hali ya kuwa wamefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu; mahali popote watakapopatikana watekwe na wawe ni wenye kuuawa muda wa kuendelea kwao katika unafiki na kueneza habari za urongo baina ya Waislamu kwa lengo la kuleta fitina na uharibifu |