Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 25 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿إِنِّيٓ ءَامَنتُ بِرَبِّكُمۡ فَٱسۡمَعُونِ ﴾
[يسٓ: 25]
﴿إني آمنت بربكم فاسمعون﴾ [يسٓ: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mimi nimemuamini Mola wenu, basi nisikilizeni nililowaambia na mnitii mimi kwa kuniamini.» Aliposema hilo, watu wake walimrukia wakamuua, na Mwenyezi Mungu Akamtia Peponi |