Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 27 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿بِمَا غَفَرَ لِي رَبِّي وَجَعَلَنِي مِنَ ٱلۡمُكۡرَمِينَ ﴾
[يسٓ: 27]
﴿بما غفر لي ربي وجعلني من المكرمين﴾ [يسٓ: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema na yeye akiwa kwenye starehe na heshima, «Natamani watu wangu wangalijua vile Mola wangu Alivyonisamehe na kunikirimu kwa sababu ya kumuamini kwangu Mwenyezi Mungu na kusubiri kwangu juu ya kumtii Yeye na kuwafuata Mitume Wake mpaka nikauawa, ili nao wamuamini Mwenyezi Mungu na waingie Peponi kama mimi.» |