Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 68 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَمَن نُّعَمِّرۡهُ نُنَكِّسۡهُ فِي ٱلۡخَلۡقِۚ أَفَلَا يَعۡقِلُونَ ﴾
[يسٓ: 68]
﴿ومن نعمره ننكسه في الخلق أفلا يعقلون﴾ [يسٓ: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yoyote tutakayeurefusha umri wake mpaka awe mkongwe tunamrudisha kwenye hali ya udhaifu wa akili na udhaifu wa mwili. Basi hawatii akilini kwamba yule Aliyefanya hili ni mwenye uweza wa kuwafufua |