Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 70 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿لِّيُنذِرَ مَن كَانَ حَيّٗا وَيَحِقَّ ٱلۡقَوۡلُ عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[يسٓ: 70]
﴿لينذر من كان حيا ويحق القول على الكافرين﴾ [يسٓ: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ili imuonye ambaye moyo wake uko hai na akili yake ina nuru, na ili ithibiti adhabu kwa wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao, kwa hii Qur’ani, hoja ya Mwenyezi Mungu ya mkato imewasimamia |