×

Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu 37:143 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:143) ayat 143 in Swahili

37:143 Surah As-saffat ayat 143 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 143 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿فَلَوۡلَآ أَنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلۡمُسَبِّحِينَ ﴾
[الصَّافَات: 143]

Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلولا أنه كان من المسبحين, باللغة السواحيلية

﴿فلولا أنه كان من المسبحين﴾ [الصَّافَات: 143]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lau si yale yaliyotangulia kwake, ya wingi wa Ibada na matendo mema kabla ya kuingia ndani ya tumbo la chewa kwa kusema, «Hapana Mola anayepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe, kutakasika na sifa za upungufu ni kwako, mimi nimekuwa miongoni mwa wenye kudhulumu,»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek