Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 145 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿۞ فَنَبَذۡنَٰهُ بِٱلۡعَرَآءِ وَهُوَ سَقِيمٞ ﴾
[الصَّافَات: 145]
﴿فنبذناه بالعراء وهو سقيم﴾ [الصَّافَات: 145]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamtoa kwenye tumbo la chewa na tukamtupa kwenye ardhi tupu, isiyokuwa na miti wala majengo, akiwa dhaifu wa mwili |