Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 168 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿لَوۡ أَنَّ عِندَنَا ذِكۡرٗا مِّنَ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الصَّافَات: 168]
﴿لو أن عندنا ذكرا من الأولين﴾ [الصَّافَات: 168]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe Mtume! Lau vingalitujia vitabu na Manabii vile vilivyowajia wa mwanzo kabla yetu |