Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 24 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَقِفُوهُمۡۖ إِنَّهُم مَّسۡـُٔولُونَ ﴾
[الصَّافَات: 24]
﴿وقفوهم إنهم مسئولون﴾ [الصَّافَات: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na muwafunge kabla hawajafika kwenye moto wa Jahanamu, kwa kuwa wao ni wenye kuulizwa kuhusu matendo yao na maneno yao yaliyotokana na wao duniani, kwa namna ya kumshtukia kuwakaripia.» |