Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 11 - صٓ - Page - Juz 23
﴿جُندٞ مَّا هُنَالِكَ مَهۡزُومٞ مِّنَ ٱلۡأَحۡزَابِ ﴾
[صٓ: 11]
﴿جند ما هنالك مهزوم من الأحزاب﴾ [صٓ: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Askari hawa wanaokanusha ni askari wenye kushindwa, kama walivyoshindwa wengineo miongoni mwa mapote ya watu waliokuwa kabla yao |