Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 10 - صٓ - Page - Juz 23
﴿أَمۡ لَهُم مُّلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَيۡنَهُمَاۖ فَلۡيَرۡتَقُواْ فِي ٱلۡأَسۡبَٰبِ ﴾
[صٓ: 10]
﴿أم لهم ملك السموات والأرض وما بينهما فليرتقوا في الأسباب﴾ [صٓ: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au kwani washirikina hawa wana mamlaka ya mbinguni na ardhini na vilivyoko baina ya viwili hivyo, hivyo basi wakatoa na kuzuia? Basi wazishikilie kamba zenye kuwafikisha mbinguni wapate kutoa uamuzi wanaoutaka wa kutoa na kuzuia |