Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 13 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَثَمُودُ وَقَوۡمُ لُوطٖ وَأَصۡحَٰبُ لۡـَٔيۡكَةِۚ أُوْلَٰٓئِكَ ٱلۡأَحۡزَابُ ﴾
[صٓ: 13]
﴿وثمود وقوم لوط وأصحاب الأيكة أولئك الأحزاب﴾ [صٓ: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Thamūd, watu wa Lūṭ, watu wa miti na mabustani nao ni watu wa Shu'ayb. Hao ndio ummah walioshirikiana wakawa pote moja juu ya ukafiri na ukanushaji na wakajikusanya juu yake |