Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 14 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِن كُلٌّ إِلَّا كَذَّبَ ٱلرُّسُلَ فَحَقَّ عِقَابِ ﴾
[صٓ: 14]
﴿إن كل إلا كذب الرسل فحق عقاب﴾ [صٓ: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakuna watu wa pote lolote kati ya hawa isipokuwa walikanusha Mitume na kwa hivyo wakastahiki kupata adhabu ya Mwenyezi Mungu na yakawashukia wao mateso Yake |