Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 20 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَشَدَدۡنَا مُلۡكَهُۥ وَءَاتَيۡنَٰهُ ٱلۡحِكۡمَةَ وَفَصۡلَ ٱلۡخِطَابِ ﴾
[صٓ: 20]
﴿وشددنا ملكه وآتيناه الحكمة وفصل الخطاب﴾ [صٓ: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukamtilia nguvu ufalme wake kwa haiba, uwezo na ushindi, na tukampa unabii na upambanuzi wa maneno na utoaji hukumu |