Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 19 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَٱلطَّيۡرَ مَحۡشُورَةٗۖ كُلّٞ لَّهُۥٓ أَوَّابٞ ﴾
[صٓ: 19]
﴿والطير محشورة كل له أواب﴾ [صٓ: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawadhalilisha ndege pamoja naye, kwa mkusanyiko wao, wakawa wanatakasa kwa kusabihi na kuwa watiifu kwake |